Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yeah kulikuwa na political interference..wameanza kuwakinga wamama wajawazito kwa kuwapa dawa very late. wamekufa watu wengi sana.. nguvu kubwa ya pesa inatumika sasa kulikabili hilo gonjwa.. hatariii wanasiasa
Zuma alikuwa bomu. Sawa sawa na Reagan huko Marekani. Aliuacha tu kwa vile ulikuwa unaua mashoga kwanza. Baadaye sana hata heterosexuals walipoanza kufa ndo akaukubali na kuuwekea mikakati. Tayari ilikuwa too little too late...
 
Talk about having a bad day...poor fish....
a8df09283d5cbe901fd0c622630e20ee.jpeg
 
Back
Top Bottom