Hahaha ukiwekewa wali unasubiri chakula kijeAu ukiwa mtoto wa kishua. Mpaka leo ugali kwanza halafu nasukumizia na kawali sasa [emoji16][emoji16][emoji16]
Salama nashukuru Mungu..sijui weye?
Zuma alikuwa bomu. Sawa sawa na Reagan huko Marekani. Aliuacha tu kwa vile ulikuwa unaua mashoga kwanza. Baadaye sana hata heterosexuals walipoanza kufa ndo akaukubali na kuuwekea mikakati. Tayari ilikuwa too little too late...Yeah kulikuwa na political interference..wameanza kuwakinga wamama wajawazito kwa kuwapa dawa very late. wamekufa watu wengi sana.. nguvu kubwa ya pesa inatumika sasa kulikabili hilo gonjwa.. hatariii wanasiasa
Kabisaaa. Lazima nisindikizie na kaugali aisee otherwise hapatalalika [emoji16][emoji16][emoji16]Hahaha ukiwekewa wali unasubiri chakula kije
Duh!!Madiba daughters....
View attachment 1052343
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee......[emoji818]
Hahaha
Kweli Mchawi mpe mwanao akulelee,,umewageuka tena
Karbu TRM bro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1052346
Sent using Jamii Forums mobile app
Bajaj itafika salama?
Safi sanaMadiba Republic
View attachment 1052364
Hilo ndo swali la karne [emoji16][emoji16][emoji16]Bajaj itafika salama?