Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna,: Betty Mkwasa huyu alikua anajulikana kama Betty Chalamila, wakati huo akiwa RTD kisha kama nahodha wa timu ya Taifa ya Netball na kabla hajaolewa na Nahodha wa timu ya Taifa ya soka, Charles Mkwassa.
Kulikua na Sango Tuwa, kabla hajaolewa na Ahmed Kipozi, Kulikua na Siwatu Mgazila kabla hajaolewa na mtumishi wa TBL John Luwanda. Orodha ni ndefu na twakumbuka zama za kula kulala, kwa leo acha tuishie hapo kamanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…