Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nitazisaka hizi ishu nizifuatilie kwa ukaribu. Zinaelimisha na mwandishi amejitahidi sana kwa kweli....ENEO LA KUMI NA MBILI; JAMII.
Unaishi kwenye jamii, na hivyo mafanikio yako hayajakamilika kama hayaigusi jamii inayokuzunguka. Unapaswa kuwa unatoa kwa jamii yako, ili inufaike na mafanikio yako pia. Hata kile unachofanya (kazi au biashara), lazima kiwe na manufaa kwa jamii.
Mdada nasikia ni shemeji yangu...yaani Kwenu ni kwao. Mungu amewabariki wadada huko jamaniiiiMi niimeona trela tu jamaa anadadavua kiaina japo anaonekana kama kaelemewa. Mdada ana ile midude tuipendayo na jamaa hakuwa na fokasi naona...Ila mdada yuko vizuri sana !!!
Nimezooom but where!Nani kaonaaaaaaaaaaaaaa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1052397
Tshirt ya blue hapoNimezooom but where!
migebuka itakuwa Kigoma moja hiyo
Acha bana...Mdada nasikia ni shemeji yangu...yaani Kwenu ni kwao. Mungu amewabariki wadada huko jamaniiii
😂😂😂😂Ankoo una macho 😀Kifuani kwa mwenye tishet ya bluu? Anko whaiiii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
hahahahahahahAcha bana...
Wasukuma wameanza kunichosa sasa aisee...Jizazi....
Itabidi nianze mchakato wa kuhama kabila kama ni hivi [emoji16][emoji16][emoji16]
Wenye makabila yao jamani. Naomba kuhamia huko. This is too much sasa... Huku TRM wamekaba. Nikigeuka huku nako dada zangu wanadhalilishwa laivu. Ai emu jasti tayadi [emoji16][emoji16][emoji16]hahahahahahah
umezuumu ikazuumika [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ankoo una macho [emoji3]