Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

UNAKOTAKA KUFIKA; je ni ujuzi gani unaohitaji kuwa nao ili uweze kufanikiwa kwenye kazi au biashara unayofanya kwa muda mrefu ujao. Kama ungekuwa ndiyo unaanza elimu yako, je ni ujuzi gani ambao ungejifunza. Pata majibu ya maswali hayo na anza sasa kujijengea ujuzi unaoupenda na utakaokuwezesha kuwa bora zaidi kwenye soko.
 
Jamaniii....
tapatalk_1552935389157.jpeg
 
ENEO LA NANE; IMANI.

Mafanikio kamili yanahusisha eneo la imani na kiroho. Lazima uwe unakua kiimani na kiroho ili kuwa na maisha yenye mlinganyo. Unapaswa kuwa na mambo unayofanya ili kuboresha imani yako, kama kujifunza, maombi, tahajudi na hata kuwa na shukrani kwa mambo mbalimbali.
 
ULIPO SASA; ni imani gani uliyonayo kwenye maisha yako? Ni vitu gani unavyofanya kila siku ili kuimarisha imani yako na kuweza kukua zaidi kiimani? Je imani uliyonayo umechagua mwenyewe au umeipokea kutoka kwa wazazi na jamii?
 
UNAKOTAKA KUFIKA; ungependa kupiga hatua zipi kubwa kiimani na kiroho? Unajionaje unapokuwa umefanikiwa sana kiroho? Ni hatua zipi zitakufikisha kwenye mafanikio zaidi ya kiroho. Je ungependa kuwa unafanya miujiza kwenye maisha yako. Yote haya yanawezekana iwapo utaweka juhudi kubwa kwenye ukuaji wa kiroho, kwa kujifunza, kusali na kufanya tahajudi kwa kina.
 
OK...

Nimeikuta PM kwangu japo haikuwa na maelezo. JWL niliomba kuondolewa...
Kuna jamaa "mwezi wa nne mara mbili" alikuwa anaomba msamaha na kuzielezea picha alizo zimwaga akiwa amelewa. Pia kuna uzi nimemuona akiwa na siteresi zilizo sababisha kuendesha gari usiku kutoka Shy kwenda Mza, aligeuzia njiani...
Mdada mwenyewe mwingi sana humu... Sijui ndio picha hizo? Shoo lavu kwa kunipasia kidogo shemeji..
 
KITABU CHA KUSOMA; soma kitabu CONVERSATIONS WITH GOD kilichoandikwa na Neale Donald ambacho kitakuwezesha kukua zaidi kiroho. Pia kitabu AUTOBIOGRAPHY OF A YOGI cha Paramahansa Yogananda kitakupa uelewa mkubwa wa kiimani.
 
ENEO LA TISA; KAZI.

Kazi au biashara unayofanya ni eneo muhimu sana la maisha yako. Hili ni eneo ambalo unapaswa kuwa unakua kadiri muda unavyokwenda. Kwa sababu kubaki pale pale, ni kurudi nyuma. Katika kazi au biashara unayofanya, lazima uweze kupima ukuaji wako.
 
UNAKOTAKA KUFIKA; ni ubobezi gani unajiona kuwa nao kwenye kazi unayofanya? Ni mabadiliko gani ungependa kuleta kupitia kazi au biashara unayofanya. Kuwa na picha ya mchango wako mkubwa na mabadiliko unayotaka kuleta na ifanyie kazi kila siku.
 
VIWANGO VYA KUJIWEKEA; jiunge na kundi la kitaalamu kulingana na taaluma au ujuzi ulionao. Shiriki mikutano na mafunzo mbalimbali yanayoendana na taaluma na ujuzi ulionao. Pia jipime jinsi unavyokua kupitia kazi au biashara unayofanya.
 
Back
Top Bottom