capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Fungua mapaja mkwaju waja [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Usiku ina maana gani?
Huyo mwanaume sura ya Kisukuma aisee [emoji16][emoji16][emoji16]Sijui huwa wanawaza nini hawa watuView attachment 1052463
Nasikia kuna ishu kama hii ilitokea hapa JF somewhere imenipita...Sijui huwa wanawaza nini hawa watuView attachment 1052463
Salama kabisa ninge,weekend muruaHahah asante sana kwa taarifa Numbisa,mm sijambo kabsa
Habari ya uzima Numbisa??upo poa ww?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ya JF bana ilikua huko JLW kma upo huko ndo imekupita kama haupo haijakupitaNasikia kuna ishu kama hii ilitokea hapa JF somewhere imenipita...
Mara nyingi ni "ni zangu tu hataziona mwingine" halafu kesho na keshokutwa penzi limekufa visasi juu ya visasi au simu inaibiwa...au inaharibika unaipeleka kwa fundi. Yanakuwa yale yale yaliyowapata akina Nsia Swai na shoga yake wakati wakisoma SAUT.
OK...Hii ya JF bana ilikua huko JLW kma upo huko ndo imekupita kama haupo haijakupita
Yuko vizuri sanaHuyu jamaa yuko juu sana kwenye hii field akiendelea hivi atafika mbali sana.
Hahaha, Nsia Swai na beshte ake still the best so far so good.. Yule beshte ake ndo my favNasikia kuna ishu kama hii ilitokea hapa JF somewhere imenipita...