Ubahili tu (na ufupi) lakini nyie siyo washamba na dada zenu siyo malimbukeni kila siku kudhalilishwa mitandaoni. I can take that. We nielekeze tu prosija nianze mikakati.
Kwema bro?Ubahili tu (na ufupi) lakini nyie siyo washamba na dada zenu siyo malimbukeni kila siku kudhalilishwa mitandaoni. I can take that. We nielekeze tu prosija nianze mikakati.
Shwari, habari za miaka mkuuHamjambo wandugu wa uzi wa malikes?
Niliwa miss sana wana likes walahi
Asante sana ndugu
Yangu
Maana nilikuwa napigwa ban kila kona, nikaamua kupumzika kidogo nivute pumzi
Ni kweli MONEY REALLY LOVES ME AND I LOVE MONEY KWA KWELI
Kwa kweli
duh!!