wasanii wa bongo hawa hawana elf10 ya mafuta tu?
😀😀😀😀 daah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama namuona mzee baba Davet
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha ya umario matamu sana ila yakikuzoea ndio hivyo unakuja kustuka muda umeenda sana afu unakua kama ndio unaanza moja
Njaaa kila konawasanii wa bongo hawa hawana elf10 ya mafuta tu?
Unaweza kupita lakini jitahidi kujizuia, jukwaa hilo watu wana hasira na stress za maisha ni rahisi sana kutukananaHahahaha
Lakini lazima kuipitia
Profesa habari za siku.
Maisha ya umario matamu sana ila yakikuzoea ndio hivyo unakuja kustuka muda umeenda sana afu unakua kama ndio unaanza moja
Hapo sasa!Unaweza kupita lakini jitahidi kujizuia, jukwaa hilo watu wana hasira na stress za maisha ni rahisi sana kutukanana