Kila mmoja na mira yake, tamaduni yake nk
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Halafu kakukaangia dizain zote! Wachagua tu ulipendalo, wafungiwa kisha waenda ghetto walila kwa raha zako!
Sent using Jamii Forums mobile app
Vumbi litatimka[emoji16][emoji16][emoji16]
Aliumizwa vibaya na jaguar. Japo aliachiwa lakini alivunjwa taya la chini yaani kabisa nyang'anyang'a [emoji116][emoji116][emoji116]. Na kwa vile hakuweza kula tena, he died. Jaguar siyo wa mchezo aisee...
View attachment 1054240
Kifo kinamuhusu.Nyumbu pambana
View attachment 1054363
ππThanks bro.What is Regional Integrated Multi hazard Early Warning system (RIMES) for Asia and Africa?
RIMES is an international organisation on Disaster warning.
It was established in 2009 in the aftermath of 2004 Indian Ocean Tsunami.
It is regional early warning system within a multi-hazard framework for the generation and communication of early warning information, and capacity building for preparedness and response to trans-boundary hazards. It is based in Thailand.
Hug la mwaka.. Gazelle be like, long t no c.. Where av yu been.. Cheetah: [emoji39][emoji39][emoji39]The food chain laivu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1054241
Yu a welokamu bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]ππThanks bro.