Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Yaani kawanyoosha mpaka wamenyoosheka [emoji16][emoji16][emoji16]Maalim Seif kawanyoosha sana CUF+Msajili
Halafu sehemu waliponyoshewa nipale hambapo hawakutegemea wao mahesabu ilikuwa chadema! Jamaa akapiga uturn ACTYaani kawanyoosha mpaka wamenyoosheka [emoji16][emoji16][emoji16]
Naona jamaa alishaapa mpaka awe rais. Miaka karibia 30 sasa anapambana...Halafu sehemu waliponyoshewa nipale hambapo hawakutegemea wao mahesabu ilikuwa chadema! Jamaa akapiga uturn ACT
CHAPUTA chama la wana hilo. Boarding school lazima uhitimu huko kwanza. Na ukizubaa unakuwa memba wa kudumu [emoji16][emoji16][emoji16]Hiki chama cha CHAPUTA ni kama Freemason tu, members wake wako kimyaaaa.
Na wewe ni member mstaafu?CHAPUTA chama la wana hilo. Boarding school lazima uhitimu huko kwanza. Na ukizubaa unakuwa memba wa kudumu [emoji16][emoji16][emoji16]
Kipa wetu wa Taifa stars, lazima achukue staili hizi..Cheetah in action...
View attachment 1054471