capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Siku moja niliona jamaa anapiga ngumi taili, nikajisemea huyu jamaa mgumu huyu!
Yuko vizuri nmeshangaa kuskia anamlilia Packiao, is this not too soon Bro?
Siku moja niliona jamaa anapiga ngumi taili, nikajisemea huyu jamaa mgumu huyu!
Dah! Hii shape noma sana!!!
It's good to have ambitions lakini afanya zoezi sana na apate jina maana michezo ya masumbwi utapata ufadhili na kufanya mechi kubwa kama una jina. Pacqiao hawezi kuacha mambo yake akaja kupambana na jamaa: Ajenge jina kwanza ili hata tukienda kwenye mechi hiyo kuwa na ufadhili wa kutosha. Halafu spidi spidi spidiiii mzee lazima awe nayo kama anataka kufika juu! Kile Kipacqiao kina spidi vibaya mnoYuko vizuri nmeshangaa kuskia anamlilia Packiao, is this not too soon Bro?
Nimetizama game zote amecheza Hassan ukweli ni kwamba hana uwezo bado wa kumvaa Pacqiao. Washindani wake anao wapiga huwa wanakata pumzi mapema. Kwa upande wa Packiao ni ana speed, pumzi na ngumi yake nzito pia. Ni vizuri kuwa na ambitions ila ni muhimu kujipanga, nimekuelewa Bro.It's good to have ambitions lakini afanya zoezi sana na apate jina maana michezo ya masumbwi utapata ufadhili na kufanya mechi kubwa kama una jina. Pacqiao hawezi kuacha mambo yake akaja kupambana na jamaa: Ajenge jina kwanza ili hata tukienda kwenye mechi hiyo kuwa na ufadhili wa kutosha. Halafu spidi spidi spidiiii lazima awe nayo kama anataka kufika juu!
Mwakinyo ana ngumi nzito sana lakini spidi akaze buti.Umesema vyema sana, nimengalia game zote amecheza Hassan ukweli ni kwamba hana uwezo bado wa kumvaa Pacqiao. Washindani wake anao wapiga huwa wanakata pumzi mapema. Kwa upande wa Packiao ni ana speed, pumzi na ngumi yake nzito pia. Ni vizuri kuwa na ambitions ila ni muhimu kujipanga, nimekuelewa sana Bro.