Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yuko vizuri nmeshangaa kuskia anamlilia Packiao, is this not too soon Bro?
It's good to have ambitions lakini afanya zoezi sana na apate jina maana michezo ya masumbwi utapata ufadhili na kufanya mechi kubwa kama una jina. Pacqiao hawezi kuacha mambo yake akaja kupambana na jamaa: Ajenge jina kwanza ili hata tukienda kwenye mechi hiyo kuwa na ufadhili wa kutosha. Halafu spidi spidi spidiiii mzee lazima awe nayo kama anataka kufika juu! Kile Kipacqiao kina spidi vibaya mno
 
Nimetizama game zote amecheza Hassan ukweli ni kwamba hana uwezo bado wa kumvaa Pacqiao. Washindani wake anao wapiga huwa wanakata pumzi mapema. Kwa upande wa Packiao ni ana speed, pumzi na ngumi yake nzito pia. Ni vizuri kuwa na ambitions ila ni muhimu kujipanga, nimekuelewa Bro.
 
Mwakinyo ana ngumi nzito sana lakini spidi akaze buti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…