Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dera raha yake mvaaji awe na msambwanda bro [emoji16][emoji16][emoji16]

View attachment 1056059
Hahaha
Acha kabsa,hili vazi
Moja ya vazi ambalo huwa nikimuona mwanamke amevaa,huwa nastuck kwa sekunde hv [emoji23][emoji23]

Halafu wana style yao flan hv,analivaa akiwa anatembea anakuwa kama kalishikilia flan hv[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumjua adui ni nusu ya ushindi. Tanzania ya viwanda kwa sasa ina maadui wakubwa wawili: wa kwanza ni neno "kufuta" na wa pili ni neno "kutaifisha". Tukiwajua maadui zetu hawa wawili, ndoto ya viwanda itawezekana.

Maneno haya mawili yakikaa midomoni mwa watawala, yanafukuza uwekezaji, yanatishia usalama wa mitaji na kuyeyusha uthubutu katika kukopa na kudhoofisha kujiamini katika kutumia (consumer confidence).

Uchumi wa soko huria hutawaliwa na usalama wa mitaji na kuheshimu sekta binafsi na mali zake. Soko huria hushamiri mahali palipo na uhuru wa kujumuika, kuungana, kutengana na kushiriki. Maneno "kufuta" na "kutaifisha" ni sumu ya uhuru huo.

Maendeleo katika uchumi wa utandawazi ni UHURU, siyo vitu wala fedha. Tanzania ya viwanda inawezekana bila matumizi ya "kufuta" na "kutaifisha".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…