Daah watu mna moyo kusubiria season miezi mitatu minne ,mitano aiseeeeeeeee
ColeEsta
Cole
Salama kabisa,za wewe?Habari za uzima
Nini kimempanikisha sasa. Jamaa hakutumia condom wala mfuko wa Rambo? [emoji1][emoji1]
[emoji125][emoji125]
Salama kabisa,za wewe?
Kwani kule korean drama huwa hamsubiri Esta?Daah watu mna moyo kusubiria season miezi mitatu minne ,mitano aiseeeeeeeee
Wapi Esta???kona ya bwiru ama [emoji2][emoji2][emoji2][emoji125][emoji125]
I have to, nadhani vikokotoleo vimenilemaza.Nilikosea.Kafanye tena review ya BODMAS, a.k.a MAGAZIJUTO!