myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Jua kali..
Embe kama hilo kubwa organic limejikuza lenyewe mtini bila madawa na upuuzi mwingine hapa nilipo linaweza kuuzwa mpaka dola 5+. Nimepiga mahesabu ya haraka haraka hapa dah ! Mane lavusi mi ende ai tachi niu mane everedei Masaki Peninsula is my home [emoji2221][emoji2221][emoji2221]Msimu umeshaanza huku kwetu, karibuniView attachment 1057106