Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Jamaa mpuuzi sana, yani kapooza upande mmoja, hajahutubia taifa tangu mwaka 2014 kwakuwa hawezi kusema, lakini alijaribu kuwafanya watu wake hamnazo eti apewe urais hivyohivyo. Mpumbavu kabisaNi yale yale. Miaka 80+ na stroke juu hata hajui kinachoendelea sawa sawa lakini bado alikuwa anataka kugombea tena. Mpaka umma na jeshi pamoja na chama chake vimeamua kumgeuka ndo ameamua kuachia ngazi. Madarakaa...
Wahenga wana msemo wao "Kila mchuma janga hula na wakwao"Wamarekani walichomfanyia huyu baba yaani dah! Hii dunia hakuna haki aisee....
Mtoto yatima aliyelelewa na watu baki na kukua kwa shida alipokuja kuupata urais yakawa ni yale yale tu. Shwaiiiniii !!!Omar Bongo Ondimba.
Kibaraka wa Ufaransa aliyeongoza Gabon kiimla.
Utawala wake wa mabavu haukuwapa watu wake nafasi ya kumkosoa wala kumpinga.
Mwendo wa kumsifia mwanzo mwisho[emoji16][emoji16]View attachment 1057570
Omar Bongo Ondimba.
Kibaraka wa Ufaransa aliyeongoza Gabon kiimla.
Utawala wake wa mabavu haukuwapa watu wake nafasi ya kumkosoa wala kumpinga.
Mwendo wa kumsifia mwanzo mwisho[emoji16][emoji16]View attachment 1057570
Economics bro...Breaking News: 1Somalia shilling is equal to 4.0 Tanzania shilling while 1Tanzania shilling equal to 0.2 Somali shilling. apart from all killing and bomb still Somali shilling is strong than our shilling🙁
That is it. Sasa tuna compete na Somalia kwa swala la thamani ya pesa.Economics bro...
Huyo dada nimemuonea huruma sana!!Watumia TECNO mtuwacheeee [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1057614
Sijui kwa nini hata alikubali kupigwa picha na hawa maslei kwini. Pengine ni fotoshopu watu wa meme wametengeneza.Huyo dada nimemuonea huruma sana!!