Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni yale yale. Miaka 80+ na stroke juu hata hajui kinachoendelea sawa sawa lakini bado alikuwa anataka kugombea tena. Mpaka umma na jeshi pamoja na chama chake vimeamua kumgeuka ndo ameamua kuachia ngazi. Madarakaa...
Jamaa mpuuzi sana, yani kapooza upande mmoja, hajahutubia taifa tangu mwaka 2014 kwakuwa hawezi kusema, lakini alijaribu kuwafanya watu wake hamnazo eti apewe urais hivyohivyo. Mpumbavu kabisa
 
Wamarekani walichomfanyia huyu baba yaani dah! Hii dunia hakuna haki aisee....
Wahenga wana msemo wao "Kila mchuma janga hula na wakwao"
Huyu jamaa aliingia kwenye uswahiba na serikali ya Ronald Reagan wa Marekani ili waiangushe serikali ya Kiislam ya Iran.
Kaingia vitani kwa ushawishi wa Marekani, akapigika, kisha Marekani wakamtema, akajaribu kuiteka Kuwait akachapwa.
Mwishowe akanyongwa. Kwenye utawala wake aliua Wakurdi wengi na Waislam kadhaa wa kadhaa wa madhehebu ya Shia, mbali ya wale waliopinga utawala wake wa mabavu
 
Omar Bongo Ondimba.
Kibaraka wa Ufaransa aliyeongoza Gabon kiimla.
Utawala wake wa mabavu haukuwapa watu wake nafasi ya kumkosoa wala kumpinga.
Mwendo wa kumsifia mwanzo mwisho[emoji16][emoji16]View attachment 1057570
Mtoto yatima aliyelelewa na watu baki na kukua kwa shida alipokuja kuupata urais yakawa ni yale yale tu. Shwaiiiniii !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…