Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu mtoto mimi sijawahi hata kuwa na mazoea naye kabisa lakini akanivunjia heshima na kuniita mimi Shoga Kuu.
Kwa wapenda mapovu hilo ndiyo tusi lao kuu. Mkikorofishana tu kihoja badala akupinge kistaarabu hata kama ameelemewa basi wanakimbilia ad hominem attacks. Ni kuvumilia, kutojali na kusamehe vinginevyo mtu utaishia kuwa unasononeka kila siku humu mitandaoni.
 
Kwa wapenda mapovu hilo ndiyo tusi lao kuu. Mkikorofishana tu kihoja badala akupinge kistaarabu hata kama ameelemewa basi wanakimbilia ad hominem attacks. Ni kuvumilia tu na kusamehe.

Mkuu ni heri hata ningekuwa nafanya naye mazungumzo au nina mazoea naye. Hata alikotokea sikujui, kanifurumushia matusi. Nikamuacha tu na kumsamehe.
 
Duuuuh mpotezee labda alipitiwa au anapima reaction yako kumbuka tu kuwa hawa ni jamii ya pole pole

Sent using Jamii Forums mobile app
Reaction yangu tena ?? Bahati mbaya sana kwetu sisi ni mwiko kabisa kutukana au kudhalilisha wanawake. Nilimuacha tu na kumuonea huruma:

Japo naona hichi kigenge chao kimekazana sana kunitafuta na kunichokonoa. Waendelee tu..
 
Huyu wa sasa na yule Jenerali utafikiri watu wawili tofauti.
Ni kweli maana mwaka mmoja na nusu ambao ameongoza wakati ule alikua na mbwembwe nyingi, kiasi baadhi ya watu walidai kupinduliwa kwake na Ibrahim Babangida kulitokana na njama za baadhi ya wale aliowaumiza.
Huenda ilitokana na umri aliokua nao wakati ule
 
Kwa wapenda mapovu hilo ndiyo tusi lao kuu. Mkikorofishana tu kihoja badala akupinge kistaarabu hata kama ameelemewa basi wanakimbilia ad hominem attacks. Ni kuvumilia, kutojali na kusamehe vinginevyo mtu utaishia kuwa unasononeka kila siku humu mitandaoni.
Ni kweli, kuna watu wanajaribu kukunyamazisha kwa matusi.
 
Reaction yangu tena ?? Bahati mbaya sana kwetu sisi ni mwiko kabisa kutukana au kudhalilisha wanawake. Nilimuacha tu na kumuonea huruma:

Japo naona hichi kigenge chao kimekazana sana kunitafuta na kunichokonoa. Waendelee tu..
Wewe vumilia tu ukiona mawe yanazidi kwako jua unakitu cha tofauti sana kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom