Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mlonge huo kamanda [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Huyu mtoto mimi sijawahi hata kuwa na mazoea naye kabisa lakini akanivunjia heshima na kuniita mimi Shoga Kuu.
Kwa wapenda mapovu hilo ndiyo tusi lao kuu. Mkikorofishana tu kihoja badala akupinge kistaarabu hata kama ameelemewa basi wanakimbilia ad hominem attacks. Ni kuvumilia, kutojali na kusamehe vinginevyo mtu utaishia kuwa unasononeka kila siku humu mitandaoni.Huyu mtoto mimi sijawahi hata kuwa na mazoea naye kabisa lakini akanivunjia heshima na kuniita mimi Shoga Kuu.
Duuuuh mpotezee labda alipitiwa au anapima reaction yako kumbuka tu kuwa hawa ni jamii ya pole poleHuyu mtoto mimi sijawahi hata kuwa na mazoea naye kabisa lakini akanivunjia heshima na kuniita mimi Shoga Kuu.
Amani tu itawale kaka hawa nao ni binadamu kama sisi japo kujitoa ufahamu kumewazidiMkuu unadhania hata nilichukia, nilimuonea tu huruma na kumwacha tu kama alivyo.
Kwa wapenda mapovu hilo ndiyo tusi lao kuu. Mkikorofishana tu kihoja badala akupinge kistaarabu hata kama ameelemewa basi wanakimbilia ad hominem attacks. Ni kuvumilia tu na kusamehe.
Huyu wa sasa na yule Jenerali utafikiri watu wawili tofauti.Ndiyo ameshinda, kwakuwa amepata ushindi kwa njia ya haki na kwakuwa kipindi cha mwanzo ameongoza nchi yake kwa haki yafaa tumsamehe kwa yale mabaya aliyofanya huko nyuma
Mh haya, cha msingi afanye mabdiliko ili ikiwezekana miaka michache ijayo Yanga iweze kujitegemea,Kuna tetesi Ridhwan anakabidhiwa timu anadai ana 35 billions ya kufanya makubwa sana.
Reaction yangu tena ?? Bahati mbaya sana kwetu sisi ni mwiko kabisa kutukana au kudhalilisha wanawake. Nilimuacha tu na kumuonea huruma:Duuuuh mpotezee labda alipitiwa au anapima reaction yako kumbuka tu kuwa hawa ni jamii ya pole pole
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh haya, cha msingi afanye mabdiliko ili ikiwezekana miaka michache ijayo Yanga iweze kujitegemea,
Reaction yangu tena ?? Bahati mbaya sana kwetu sisi ni mwiko kabisa kutukana au kudhalilisha wanawake. Nilimuacha tu na kumuonea huruma:
Japo naona hichi kigenge chao kimekazana sana kunitafuta na kunichokonoa. Waendelee tu..
Braza mimi nina amani naye kabisa, na nshamsamehe.Amani tu itawale kaka hawa nao ni binadamu kama sisi japo kujitoa ufahamu kumewazidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli maana mwaka mmoja na nusu ambao ameongoza wakati ule alikua na mbwembwe nyingi, kiasi baadhi ya watu walidai kupinduliwa kwake na Ibrahim Babangida kulitokana na njama za baadhi ya wale aliowaumiza.Huyu wa sasa na yule Jenerali utafikiri watu wawili tofauti.
Ase, pole bro.Huyu mtoto mimi sijawahi hata kuwa na mazoea naye kabisa lakini akanivunjia heshima na kuniita mimi Shoga Kuu.
Mlonge huo kamanda [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Ni kweli, kuna watu wanajaribu kukunyamazisha kwa matusi.Kwa wapenda mapovu hilo ndiyo tusi lao kuu. Mkikorofishana tu kihoja badala akupinge kistaarabu hata kama ameelemewa basi wanakimbilia ad hominem attacks. Ni kuvumilia, kutojali na kusamehe vinginevyo mtu utaishia kuwa unasononeka kila siku humu mitandaoni.
Ahsante sana mkuu, mambo madogo haya.
Wewe vumilia tu ukiona mawe yanazidi kwako jua unakitu cha tofauti sana kwaoReaction yangu tena ?? Bahati mbaya sana kwetu sisi ni mwiko kabisa kutukana au kudhalilisha wanawake. Nilimuacha tu na kumuonea huruma:
Japo naona hichi kigenge chao kimekazana sana kunitafuta na kunichokonoa. Waendelee tu..