“Nilipigiwa simu na watu fulani wakaniambia wanaombwa rushwa na vongozi wa CCM, nikamtafuta mtu wa TAKUKURU nikamwambia awashike tena wakiwa wamevaa nguo za kijani, kwahiyo rushwa haina chama hata ndani ya CCM kuna rushwa pia,”
"Mbona Lowassa baada ya kujiunga na CCM alikwenda Monduli kwa maandamano na mkutano wa hadhara?
Kuna watu wana haki na kuna watu wana haki zaidi (maalim seif)