Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
UNIVERSAL LOVE
AiseeEngineer Selemani Said, kwenye Klabu ya Simba ambako aliwahi kuongoza miaka 80 alikuwa anajulikana kwa jina la Yeltsin
Kwema kabisa mkuu,
Naona unachati na SISIS walahiiii.
Juzi amenitukana matusi makubwa huyo.
HahahahaHuyu mtoto mimi sijawahi hata kuwa na mazoea naye kabisa lakini akanivunjia heshima na kuniita mimi Shoga Kuu.
Leo nipo mkuu
Mungu anasaidia mkuuSalama mkuu,habari ya kwako??weekend inaenda swalama huko?