Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*BREAKING NEWS: FORM FIVE SUBJECT SELECTIONS COMBINATIONS 2019-MFUMO WA KUBADILI KOMBI ONLINE KWA WANAFUNZI WALIOMALIZA FORM FOUR*

*▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬*

*SERIKALI YATANGAZA : WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE 2018 RUKSA KUBADILISHA KOMBI*

[emoji302] Serikali Imetangaza Wanafunzi wote waliofaulu kidato cha Nne-NECTA 2018- *WATAWEZA KUFANYA MACHAGUO YA KOMBI ONLINE*

[emoji302] *Mfumo Mpya wa Kubadili KOMBI/KOZI au KUHAMA KUTOKA CHUO Kwenda Kidato cha Tano au Kuhama Kidato cha tano Kwenda Chuo*

*Mfumo huo Unafunguliwa Rasmi*

*April 01 - April 15 ,2019*

*Bonyeza Link- KUPAKUA PDF YA MAELEKEZO ZAIDI*
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
http://www.unistoretz.com/magazine/...rm-five-subject-combinations-selections-2019/

*▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬*

*SAIDIA KUSHEA TAARIFA HII MUHIMU, KWA WANAFUNZI WOTE WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE 2018/19*[emoji120][emoji1666][emoji1666]
 
Sani Abacha amezaliwa mkoa wa Kaskazini, Kano, Sep 20 1943, amefariki ghafla jun 8 1998 jijini Abuja.
Pichani chini, mke wa Dikteta huyo aliyetisha sana Nigeria enzi zake. Bi Fatma Abacha.
Picha ya chini ni bintiye Sani Abacha aitwaye Hudayya
FB_IMG_1553949259453.jpeg
FB_IMG_1553949239719.jpeg
FB_IMG_1553956706749.jpeg
 
Sani Abacha amezaliwa mkoa wa Kaskazini, Kano, Sep 20 1943, amefariki ghafla jun 8 1998 jijini Abuja.
Pichani chini, mke wa Dikteta huyo aliyetisha sana Nigeria enzi zake. Bi Fatma Abacha.
Picha ya chini ni bintiye Sani Abacha aitwaye Hudayya View attachment 1058146View attachment 1058147View attachment 1058153

Sent using Jamii Forums mobile app
Stupid man. Alimuua Ken Sarowiwa na kuwatesa watu wa Ogoni kwa kudai fidia zao kutoka kwa mabepari wa Shell waliokuwa wanaharibu mazingira kwa makusudi kabisa.

Halafu akajiovadozi mavayagra akazimika ghafla mbele ya machangu aliokuwa ameagiza kutoka India. Mpaka leo hawajamaliza kurudisha mabilioni ya dola aliyokuwa ameficha katika mabenki mbalimbali duniani. Afrika tuna matatizo sana wallahi.
 
*BREAKING NEWS: FORM FIVE SUBJECT SELECTIONS COMBINATIONS 2019-MFUMO WA KUBADILI KOMBI ONLINE KWA WANAFUNZI WALIOMALIZA FORM FOUR*

*▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬*

*SERIKALI YATANGAZA : WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE 2018 RUKSA KUBADILISHA KOMBI*

[emoji302] Serikali Imetangaza Wanafunzi wote waliofaulu kidato cha Nne-NECTA 2018- *WATAWEZA KUFANYA MACHAGUO YA KOMBI ONLINE*

[emoji302] *Mfumo Mpya wa Kubadili KOMBI/KOZI au KUHAMA KUTOKA CHUO Kwenda Kidato cha Tano au Kuhama Kidato cha tano Kwenda Chuo*

*Mfumo huo Unafunguliwa Rasmi*

*April 01 - April 15 ,2019*

*Bonyeza Link- KUPAKUA PDF YA MAELEKEZO ZAIDI*
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
http://www.unistoretz.com/magazine/...rm-five-subject-combinations-selections-2019/

*▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬*

*SAIDIA KUSHEA TAARIFA HII MUHIMU, KWA WANAFUNZI WOTE WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE 2018/19*[emoji120][emoji1666][emoji1666]
This is good.. Nakumbuka nilichaguliwaga PGM form 5..nikawa sitaki maana hamna chuo cha u_pilot bongo.. kuibadilisha hiyo ilikuwa kizungumkuti
 
Back
Top Bottom