Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

tapatalk_1541702544169.jpeg
 
Wale wanaosema Wakenya ni maadui zetu wajitokeze. Nawapenda Wakenya na wote niliokutana nao wananiheshimu sana hali kadhalika mie nawaheshimu sana pia.

CC: MK254

Mh. Jokate ameongeza kuwa, "kipekee kabisa nimshukuru Pierre Liquid, wako watu maarufu wengi mno tuliowaalika lakini hawakufika. Ila wewe ulichukua muda wako kuhamamisha na kufika na zaidi ya hapo ukatoa mchango wa Tsh. Laki moja!!!. Hukuja kuuza sura tu!!. Nasema asante sana"
Jokate%20M_0.jpg
Mh. Jokate
Mbali na dili la Mh. Jokate, Mchezaji wa kulipwa wa klabu ya Tottenham mwenye asili ya Kenya, Victor Wanyama amemtaka Piere aende London yeye na msanii Ommy Dimpoz kwa ajili ya matembezi huku akiahidi kugharamia safari nzima ni zake.
Ukiachilia mbali mashavu hayo, Waziri wa
 
Back
Top Bottom