myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
toa likes upate likes
Hahahaaalikes 10 kwa Numbisa tafadhali
tulia mama mbona unamchecheto ivyoNakugawa bure ww umenishinda tabia hahahaha.
Story inaendelea sema unaharakaMmmh umenikata stimu, hamu yoote imeisha.
Ubuyu wako mchachu hahahatulia mama mbona unamchecheto ivyo
Kweli ukipungukiwa like unakuja hapa yaani hata hiyo comment nimepata likeDuuh
Ngoja niongeze chumvi utakuwa tu mtamuUbuyu wako mchachu hahaha
Haya ngoja niendelee kusubiri.Story inaendelea sema unaharaka
Basi bana nikaingia zangu homeHaya ngoja niendelee kusubiri.
Kumbe ww ndio umemchukua kichwa eeeh?