[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] siku ya kwanza msuku,kufika dar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1060304
Jamaniii !!!Namba 10[emoji119][emoji119]View attachment 1060278
Aise,anasikitisha sanaSina hakika sana ila nahisi itakua ni maradhi tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oh Jizazi. TRM laivu Mwakaleli. Wuhuuu !!!
View attachment 1060321
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Wasuku wana hatari sana
Kweli tupu. Msichana awe mweupe kama Wanyiramba au Wamburu halafu toli toli hivi msomi na kimsambwanda dizaini fulani hivi aisee hata ng'ombe 70 unapigwa ukizubaa...Hata kama ana sura kama anakunywa sumu,ila awe mweupe tu,msuku kwisha habar yake[emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 1060284
Hawa siyo Wakerewe kweli hawa? Huyo jamaa namfananisha na kwaya masta wa kanisa fulani hivi la wanamasalia ...[emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 1060287
Unawakandia hapa wakati umekwama huko ukihondomola bushike. Usitukane wakunga...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]no.3 Kinyamwezi Sana mzee....
10. Naona kaamua kuzama manta kabisa na kama kuna upenyo wa kutosha yupo radhi afike adi kwenye chemba
Likely madhara ya pombe kali. Inasemekana anazigonga sawasawa. Isije ikawa keshakorofisha ini... Au yaweza kuwa ni dayati tu...View attachment 1060291Nini shida huyu mzee?
🤣🤣🤣🤣🤣Unawakandia hapa wakati umekwama huko ukihondomola bushike. Usinitukane wakunga...
Jamaaaani....We kaka una roho nzuriiii......Yani unanipa likes kabisa...Waaaaooow......Nnavyotupendaga tulikes sasa...Haya nshacomment
Pombe kali atilisti inamekisensi ila dayati hapana, dayati haichukui adi nyweleLikely madhara ya pombe kali. Inasemekana anazigonga sawasawa. Isije ikawa keshakorofisha ini... Au yaweza kuwa ni dayati tu...
Hapana,yupo vzr kabsa,,pozi za Kisukuma hizo[emoji23][emoji23]
Nikija huko na Kahama nitakuhamisha kwa tinga tinga aisee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro umeuwa kabsa,kwamba azame hadi chemba,[emoji23][emoji23][emoji23] hawa jamaa ni noma bro