Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sio mchezo mkuu[emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 1060298
Sio mchezo mkuu[emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 1060298
Fulu magego dah...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanaume wa Dar ama?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1060304
Jamaaaani....We kaka una roho nzuriiii......Yani unanipa likes kabisa...Waaaaooow......Nnavyotupendaga tulikes sasa...Haya nshacomment
Hahaha hii ni kweli kabsa,huwa nawaona wazee wa Kinyantuzu,wanavyosherekea wakipata mabinti weupe,wanajua wanapiga ng'ombe za kutoshaKweli tupu. Msichana awe mweupe kama Wanyiramba au Wamburu halafu toli toli hivi msomi na kimsambwanda dizaini fulani hivi aisee hata ng'ombe 70 unapigwa ukizubaa...
Hahahaha aiseeHawa siyo Wakerewe kweli hawa? Huyo jamaa namfananisha na kwaya masta wa kanisa fulani hivi la wanamasalia ...
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Unawakandia hapa wakati umekwama huko ukihondomola bushike. Usitukane wakunga...
Hahahaha huku sihami hata kwa tinga tingaNikija huko na Kahama nitakuhamisha kwa tinga tinga aisee...
Ilikuwa zamani na wewe. Siku hizi hakuna mzee wa Kinyantuzu anayetegemea kupiga ng'ombe kupitia kwa mabinti (weupe). Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni...Hahaha hii ni kweli kabsa,huwa nawaona wazee wa Kinyantuzu,wanavyosherekea wakipata mabinti weupe,wanajua wanapiga ng'ombe za kutosha
Ni kawaida yetu.[emoji23][emoji23]View attachment 1060277
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jibu konkiii. Brooo njoo uone sio mwanaume wa dar huyu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] siku ya kwanza msuku,kufika dar
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuwa mnyaki raaaaaha...
Kwani ni wasukuma kweli?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Wasuku wana hatari sana
Hahaha huwa nawaona huku nilipo,kuna wale matajiri wa dhahabu,wafabiashara wa dhahabu,,wengi wao ni Wanyantuzu,wana mabinti wazuri na wengi wao weupe wameenda hewani,,harusi zao sio mchezo broIlikuwa zamani na wewe. Siku hizi hakuna mzee wa Kinyantuzu anayetegemea kupiga ng'ombe kupitia kwa mabinti (weupe). Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni...
Eti unawaonaga. Unawaonaga wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anawasingizia wanaume wa dar bhana,,huyo msuku kabsa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jibu konkiii. Brooo njoo uone sio mwanaume wa dar huyu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anko bhana,,mpo vizuri kumbe