Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fulu magego dah...

TRM leo naona mmeamka. Bahati mbaya niko sehemu siyo tulivu. Vinginevyo tungeenda bandika bandua dadeki [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kweli tupu. Msichana awe mweupe kama Wanyiramba au Wamburu halafu toli toli hivi msomi na kimsambwanda dizaini fulani hivi aisee hata ng'ombe 70 unapigwa ukizubaa...
Hahaha hii ni kweli kabsa,huwa nawaona wazee wa Kinyantuzu,wanavyosherekea wakipata mabinti weupe,wanajua wanapiga ng'ombe za kutosha
 
Hahaha hii ni kweli kabsa,huwa nawaona wazee wa Kinyantuzu,wanavyosherekea wakipata mabinti weupe,wanajua wanapiga ng'ombe za kutosha
Ilikuwa zamani na wewe. Siku hizi hakuna mzee wa Kinyantuzu anayetegemea kupiga ng'ombe kupitia kwa mabinti (weupe). Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni...

Eti unawaonaga. Unawaonaga wapi?
 
Ilikuwa zamani na wewe. Siku hizi hakuna mzee wa Kinyantuzu anayetegemea kupiga ng'ombe kupitia kwa mabinti (weupe). Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni...

Eti unawaonaga. Unawaonaga wapi?
Hahaha huwa nawaona huku nilipo,kuna wale matajiri wa dhahabu,wafabiashara wa dhahabu,,wengi wao ni Wanyantuzu,wana mabinti wazuri na wengi wao weupe wameenda hewani,,harusi zao sio mchezo bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…