D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
lakini wajumbe wa Tanzania Bara wakiongozwa na Andrew Chenge waliyakataa katakata tena kwa ufedhuli kabisa. Aliwasilisha hoja hiyo kwa masikitiko hadi machozi yakamtoka, akikumbusha jinsi alivyodhalilishwa na aliyekuwa Waziri wa Katiba wa Tanzania wakati wa mchakato wa “Katiba Inayopendekezwa.“