Fanya jaribio hili,bonyeza au double click comment yangu hii kama unataka kuicopy yatatokea maneno chagua au click neno copy page url kisha paste kwenye sehemu ya kupost comment then post it as reply itatokea linkNaomba msaada wa namna ya kuweka link ya uzi kutoka majukwa mengine kuja jukwaa hili.
Sent using Jamii Forums mobile app