Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1554215458033.jpeg
 
simulizi_tz: Habari simulizi, boyfriend wangu alinipiga Kofi zito sana Jana usiku mpaka nikaona kama nyota fulani kisa tuu anasema nilikuwa nakoroma kwa nguvu. Anakataa kuwa hakunipiga na anasingizia ni ndoto lakini nakumbuka sikuwa naota na alinipiga kweli. Ivi inawezekana nilipigwa na pepo au jini? Nilichoka sana Jana na nililala na nahisi alinipiga kwani alishawahi kusema hivo nilipokoroma siku moja. Nasubiri alale usiku ili nimrudishie alichokifanya aone kofi la kushitukiza usingizini linavouma na nitasingizia pepo au ndoto pia. Nikifanya hivo inaweza sababisha tukaachana?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom