Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
simulizi_tz: Habari simulizi, nahisi girlfriend wangu anatembea na baba wa rafiki yake. Yule baba anamnunulia sana zawadi na Mara nyingi anampigia simu usiku hata saa sita. Nampemda sana girlfriend wangu lakini kila Mara tunapofanya mapenzi haoneshi kufurahishwa na hata zile Sauti za kuonesha kuwa anafurahia tendo hazitoi tena. Atakaa tuu kitandani kama gogo na ananiangalia tuu mpaka namalizia shughuli ila yeye hajigusi yani ni kama hakuna kilichotokea, wakati zamani haikuwa hivo. Ivi inaweza kuwa sababu ameshazoea kutumia mihogo mikubwa zaidi ya wangu? Au ndo hanipendi tena? Nahitaji ushahidi na kama ikiwa kweli nitafanyaje? Yaani mtu anawezaje kutoa sauti zile kitandani kwa miaka miwili halafu akaacha ghafla ndani yq miezi sita? Nisaidieni jamani.