Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baada ya kumalizana na Newcastle usiku wa jana, Arsenal mechi zake ilizobakiza kwenye ligi, tano itacheza ugenini na mbili tu ndio utacheza nyumbani. Mechi zake za ugenini itakipiga na Everton, Watford, Wolves, Leicester City na Burnley, wakati mechi za nyumbani itacheza na Crystal Palace na Brighton.
 
Spurs, ambayo itacheza kesho dhidi ya Crystal Palace nyumbani, baada ya hapo itakuwa na mechi za nyumbani dhidi ya Huddersfield, Brighton, West Ham na Everton, huku mechi zake za ugenini ikiwa ni dhidi ya Man City na Bournemouth.
 
Back
Top Bottom