Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ndiyo. Limetoka katika Kilatini (mercatus) likapita katika Kifaransa cha zamani (marché) hilo likachanja mbuga mpaka kwenye Kiarabu (markit) na walipokuja wakaliacha huko visiwani (markiti) japo huku bara tunatumia soko...Hivi hilo neno "marikiti" linatokana na neno market?
Kiitalia ni mercato, Kiingereza ni market, Kihispania ni mercado, Kidachi ni markt na Kijerumani ni markt pia. Mzizi ni ule ule japo kuna tofauti za hapa na pale.