Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
😁😁😁 Ubaguzi wa maumbo huuVimbaumbau vyote. Hakuna sakisesifu hapo. Roho mbaya tu, gubu, michambo na maneno mengi kama cherehani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
😁😁😁 Ubaguzi wa maumbo huuVimbaumbau vyote. Hakuna sakisesifu hapo. Roho mbaya tu, gubu, michambo na maneno mengi kama cherehani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Yani msuku anatoa wapi ujasiri wa kumtania mwenzake?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ukisha zoea haisumbui, huyo shemeji yangu mwenyewe msuku lakini anatania wanyaki...
Hivi ni wewe ulikuwa unatarajia kuongeza idadi duniani au ni Bradha ?
Nataka niimwage chereko hapa
Hivi kuna wenzetu bado mnagonga likes? Mbona sisi wengine tumeanza kugonga Thanks Leo....Nikupe siri? Ukija huku kuweka tangazo lako gonga na likes angalau 10 hivi as a good gesture kwa wateja wako. Nilisoma hii kwenye Customer Service 101 [emoji16][emoji16][emoji16]
Namimi naona ni mwendo Thanks giving tuu.Hivi kuna wenzetu bado mnagonga likes? Mbona sisi wengine tumeanza kugonga Thanks Leo....
Ngoja twende na thanks tutazoea tuNamimi naona ni mwendo Thanks giving tuu.
Kwamba ushamba wa msuku ni sawa na wa mnyaki?!!! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] haki ya nani umetuchoka.Yani msuku anatoa wapi ujasiri wa kumtania mwenzake?
Huyo wa kuongeza idadi ya watu duniani sio Mimi ndugu yangu atakua ni Bradha