Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nikupe siri? Ukija huku kuweka tangazo lako gonga na likes angalau 10 hivi as a good gesture kwa wateja wako. Nilisoma hii kwenye Customer Service 101 [emoji16][emoji16][emoji16]Karibuni wote kwa kiwajali nawaletea ofa ya mbao za ujenzi kwa Bei poa
1. MBAO ZA DAWA
2x2 sh 400 kwa futi
2x4 sh 800 kwa futi
1x10 sh 17000 kwa Kila mbao
1x8 sh 13000 kwa Kila mbao
2. ZISIZO NA DAWA
2X2 sh 3200 kwa Kila mbao
2x4 sh 6000 kwa Kila mbao
1x10 sh 16000 kwa Kila mbao
1x8 sh 12000 kwa Kila mbao
Discount/mapunguziano yapo fika ofsini kwetu buguruni chama piga namba 0674344436View attachment 1060976
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣Nina ushahidi laivu. Mpaka juzi tarehe 31 Machi ulikuwa bado Rocky City bro. Mjini umeingia lini? Acha kuzuga bro. Ulifikiri mabinti wa Kisuku ni wa kisipotisipoti? Kamata kiwanja hiyo mitaa ya Nyegezi uporomoshe mjengo uhamie pamanentili kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]