moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Bado upoKabla sjaanza kutoa na kupokea likes naomba niwashukuru woooooote wanaoendelea kupost na kutoa likes..much love
Kama mkurya vileMsukuma huyo nahisi
@kaporo mkuu wa parables hatari kwa huu uzi
[emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] kuwa mshenga Kichwa Kichafu nikimpata ISIS utakua kichwa kisafi[emoji41][emoji41][emoji41]ISIS fanya haraka huku kuna kamanda amekuja na makinikia ya ng'ombe na makontena ya pembe
toa likes upate likesUzi unakuwa kwa kasi ya ajabu kuliko ule wa makapuku sasa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji121] [emoji121] [emoji121]Nami nikuage naona hapa ni kuagana tu ili kuweza kuwa karibu!
Nakupenda sana wewe ndio pumzi yangu usije nisaliti ukakata pumzi yanguNakupenda sweetie hadi upendo wenyewe unaona wivu
Jana nimestuka jogoo anawikaHahaha
yuko njiani anarudi shemejiKula likes SHIMBA YA BUYENZE ili arudi fasta
Sukuma lineKanda maalumu hawa, Ng'ombe wanagawa kama njugu.
Hakuna aliyeiona keshoSijui ka ntaona kesho...