Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

United walicheza wakiwa 10 toka dakika ya 57 ya mchezo baada ya Ashley Young kutolewa kwa kdi nyekundu.
Sasa klabu hiyo imesalia katika nafasi ya tano wakiwa na alama 61, alama 2 nyuma ya Arsenal waliopo nafasi ya tatu, alama sawa na Tottenham ambao wapo nafasi ya nne na alama moja juu ya Chelsea waliopo nafasi ya 6.
Hata hivyo, United wamecheza mchezo mmoja zaidi ya klabu zote hizo za London. Hiyo inamaanisha kuwa endapo Chelsea watawafunga Brighton leo usiku itawashusha United mpaka nafasi ya 6.
 
hapana sina chuki yoyote dhidi yake kwa sababu sina muda wa kufuatilia celebrities wa kitanzania na afrika kwa ujumla.
kinachonishangaza picha zake nyingi ninazoziona amepiga akiwa amepindisha mguu wake ndio maana nikahoji.
View attachment 1062225
Nmekuelewa Bro, ni mrembo sana lakini me nampenda hivyohivyo.
 
United ilipoteza kwa magoli 2-1 dhidi ya Wolveshampton na hivyobasi kusalia katika nafasi ya tano wakiwa pointi mbili nyuma ya Arsenal , sawa na Tottenham ambao wako katika nafasi ya nne na pointi moja juu ya Chelsea walio katika nafasi ya sita.
Hatahivyo , United kufikia sasa wamecheza mechi moja zaidi ya timu hizo tatu za mjini London.
 
Mshambuliaji wa klabu ya Juventus na raia wa Itali Moise Kean alirushiwa maneno ya kibaguzi kutoka kwa maeneo ya mashabiki wakati wa mechi ya ligi ya Seria A dhidi ya Cagliari siku ya Jumanne.
Kinda huyo mwenye umri wa miaka 19 alishika mikono yake juu baada ya kuifungia Juve bao la pili katika ushindi wa 2-0 akijibu sauti alizokuwa akisikia kutoka kwa maeneo ya mashabiki.
 
Baadaye aliandika katika mtandao wa ke wa Instagram: Njia mwafaka ya kujibu ubaguzi a rangi.
Mkufunzi wa klabu hiyo Massimiliano Allegri na beki Leonardo Bonucci walisema kuwa Kean anafaa kulaumiwa kutokana na vile alivyosherehekea goli lake.
''Asingesherehekea namna alivyofanya'' , alisema Allegri. ''Ni kijana mdogo na anafaa kupata funzo, lakini pia kuna baadhi ya vitu ambavypo mashabiki pia hawafai kufanya
 
IMG-20190403-WA0020.jpeg
 
Baaaye watakabiliana na Brighton katika nusu fainali ya kombe la FA siku ya Jumamosi na baadaye Totenham katika awamu ya kwanza ya robo fainlai ya kombe la vilabu bingwa Ulaya mnamo tarehe tisa Aprili.
Katika wiki moja ama siku taytu tunaweza kupoteza mataji yote matatu, Guradiola alisema.
 
Kamanda Moud. Ni kweli huwa wanatandikana viti namna hii au ni maigizo tu?
View attachment 1062180
Mkuu jitahidi ufike Barclays Centre, New York, April hii ili ulete ushuhuda. Maana nashindwa kuamini kuhusu usanii hasa ninapoona umati unaohudhuria.
Kwamba umati ule wana utayari kiasi gani kulipia kuona uongo na usanii, ingawa kiasi furani pia unashangaa namna mtu anavyocharazwa kwa ngumu, viti, bakora zisizo na idadi kwenye maeneo nyeti ya mwili kisha anaamka akiwa na afya njema[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sioni kwa sasa huyu kuachia ngazi hasa ukitilia maanani support kubwa anayoipata kutoka kwa Watanzania na hata kutoka kwa wastaafu na ndani ya ccm lakini ya chini chini.

Kuhusu hilo swali rememberer that Mkuu, Birds 🦅 of the same feathers they always FLOCK TOGETHER.

mzee assad nina wasiwasi huenda akaachia ngazi lakini hata kama ataachia ngazi kazi yake ameshaikamilisha na lazima ijadiliwe.

question 1:
elezea tofauti tano ziliopo kati ya wabunge wa CCM na pierre mzee wa liguid (marks 40)
no markup test
 
Mkufunzi huyo wa zamani wa Barcelona ameshinda makombe mawili ya ligi na kombe la ligi ya Uingereza msimu uliopita tangu alipojiunga na City mwanzo wa msimu wa 2016.
Bado anasalia kukata tamaa ya kushinda mataji manne msimu huu: Nimewaambia wakati mwingi kwamba niulizeni mwisho wa msimu.
 
Lakini Villarela baadaye waliongoza 4-2 huku Samuel Chukwueze , Karl Toko Ekambi , Vicente Iborra na Carlos Bacca wakicheka na wavu.
Mchezaji wa wa Villareal Alvaro Gonzalez alipewa kadi nyekundu huku Barca wakitumia fursa hiyo na mchezaji wa ziada Lionel Messi akifunga kunako dakika ya 90 naye Luis Surez akisawazisha dakika za majeruhi.
 
Back
Top Bottom