Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukiporomoshewa kiti cha chuma kichwani kama ni kweli huamki kamanda. Ni permanent brain damage. Hawa hata apigwaje anaamka na yuko poa tu...Likely ni maigizo yaliyochanganywa na uhalisia na kuigizwa kistadi sana. Uhalisia uko kule kwa wanaume wa boxing na Mixed Martial Arts. Ukizubaa huko unauliwa....
 
Unajua Ndugai anasahau kitu kuwa CAG huwa hawasilishi report bungeni, yeye huwasilisha kwa Rais na Rais ndio huwasilisha kwa Bunge kwahyo sasa sijui bunge linasema halitaki kufanya kazi na Rais au sikuelewa
 
12': Bayern 1-0 Heidenheim 26': Bayern 1-1 Heidenheim 39': Bayern 1-2 Heidenheim 53': Bayern 2-2 Heidenheim 56': Bayern 3-2 Heidenheim 65': Bayern 4-2 Heidenheim 74': Bayern 4-3 Heidenheim 77': Bayern 4-4 Heidenheim 84': Bayern 5-4 Heidenheim Bayern reach the semi-finals. [emoji897]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…