Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nmekuelewa Bro, ni mrembo sana lakini me nampenda hivyohivyo.
upo sahihi anaonekani ni ahjumma anayejali afya yake ukilinganisha na wanawake wengine hususani wenye kipato cha chini.
ameshakwenda chumba cha uzazi mara tano kama sikosei na bado anaonekana ni beautiful kuliko .................................
 
Aisee kumbe wema bado mtoto ambae anafundishwa tabia njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…