Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

yes ilikuwa mechi nzuri sana hususan kwa upande wa villareal walicheza vizuri sana kipindi cha pili ukilinganisha na barcelona.
bonge ya assist kutoka kwa santi cazorla, mara ya mwisho kwa viilareal kumfunga barcelona uwanjani kwao ilikuwa ni mwaka 2011 na goli lilifungwa na cazorla.
angalia ankle ilivyopigwa kisu halafu jamaa bado anacheza mpira, dah angelikuwa afrika ya uswahilini muda huu angelikuwa mlemavu.
 
Jamaa ni fundi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kocha huyo alisema licha ya Pogba kuwindwa kwa nguvu na Real Madrid, lakini hataondoka Old Trafford.

Kauli ya Solskjaer ni majibu kwa kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane ambaye katika siku za karibuni amekuwa akikaririwa akidai anapenda kufanya kazi na Pogba.
 
Pia nyota huyo aliwahi kukaririwa akisema kila mchezaji Ulaya ana ndoto ya kucheza Real Madrid.

Taarifa za awali zimedai Zidane alizungumza na wakala wa Pogba Mino Raiola mara mbili kuhusu usajili wa majira ya kiangazi kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa.
 
Nimekuwa nikichati na Paul na ameonyesha ana furaha. Kwetu ni muhimu,” alisema mshambuliaji huyo wa zamani wa Man United na Norway.

Alisema Pogba ni mchezaji hodari na muungwana, hivyo hawezi kuchukua uamuzi wa kuondoka Man United.
 
Zidane ni nembo ya Ufaransa, kocha hodari anayependa kufanya kazi na mchezaji bora,” alisema Solskjaer.

Hata hivyo, kocha huyo huenda akampoteza kiungo Ander Herrera anayewindwa na Paris Saint-Germain, Arsenal baada ya mazungumzo ya mkataba wake na Man United kusuasua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…