Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Naskia sumu yake ni balaaa.A Deadly encounter with one of the deadliest jelly fish...Anakuchora chora hivi halafu baadaye mguu unaoza...
View attachment 1062811
Msukuma huyo anazingua [emoji16][emoji16][emoji16]Mke wa kaka hataki kunichemshia maji ya kuoga haya ni mazarau
Nimetoka kijijni Kuja hapa mjini mkoani, mkoa wenye baridi kali nashangaa kaka anavyofaidi maji ya moto MI napewa maji ya baridi wakuu hapa si bora tu nisepe? Au nioe wangu! Sent using Jamii Forums mobile appwww.jamiiforums.com
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukichelewa tu kidogo alipokuuma panaoza na akikutwanga sumu ya kutosha anaweza kustopisha moyo...Naskia sumu yake ni balaaa.
Denti huyo au ni wale wanaofikiri kuanzisha nyuzi zisizo na kichwa wala miguu ndo umaarufu...Mke wa kaka yangu hataki kunipikia
Wakuu, Natumahi ni wazima wa afya kabisa. Mimi ni kijana ambaye nimebahatika kuwa na kakaangu ambae ni Polisi, sasa juzi kati nilimtembelea kwake sasa si unajua kazi za bro unakuta wiki nzima hayupo home, sasa kila siku nikibaki na mkewe, mkewe hataki kunipikia chakula yaani mara nyingi...www.jamiiforums.com
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]