Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Giant otter taking down a gator...
Aisee,,kuna viumbe wa hatari sana na sumu kali sana hapa dunianiA Deadly encounter with one of the deadliest jelly fish...Anakuchora chora hivi halafu baadaye mguu unaoza...
View attachment 1062811
Wale wapenda sifa tuDenti huyo au ni wale wanaofikiri kuanzisha nyuzi zisizo na kichwa wala miguu ndo umaarufu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ladies...
You Ever Miss Your Man So Badly
That You Feel Like Texting his Wife To Ask
"Where's Our Man At?"[emoji849][emoji23][emoji41]
Honey BadgerNyegere. Mzee wa visasi na mikwara. Hapa kachezea mishale ya kutosha kutoka kwa nungunungu lakini ndo kwanza wala hajali...
Be like nyegere [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1062820
India hakufaiUnajua Ndugai anasahau kitu kuwa CAG huwa hawasilishi report bungeni, yeye huwasilisha kwa Rais na Rais ndio huwasilisha kwa Bunge kwahyo sasa sijui bunge linasema halitaki kufanya kazi na Rais au sikuelewa