Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alizifungia mabao 54 klabu hizo huku mengi akiwa amefunga na Arsenal. Katika hayo 54 anakumbukwa zaidi kwa hat trick aliyoifungia Arsenal dhidi ya Chelsea. Angeweza kufikisha mabao 55 kama si kukosa bao la wazi zaidi akiwa na West Brom. Lilikuwa bao la wazi sana.
 
You are a virgin, You are a virgin, and so what, who cares![emoji849][emoji57][emoji17]
And u think any company will hire someone without experience[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] Nugu
 
Alizifungia mabao 54 klabu hizo huku mengi akiwa amefunga na Arsenal. Katika hayo 54 anakumbukwa zaidi kwa hat trick aliyoifungia Arsenal dhidi ya Chelsea. Angeweza kufikisha mabao 55 kama si kukosa bao la wazi zaidi akiwa na West Brom. Lilikuwa bao la wazi sana.
 
Mabao yote hayo alifungia katika klabu moja ya Manchester City. Kuna viungo wawili tu waliowahi kufunga mabao 20 ndani ya msimu mmoja. Yeye pamoja na staa wa zamani wa Chelsea, Frank Lampard. Inakuthibitishia ni kwa kiasi gani Toure alikuwa anajua kuziona nyavu licha ya kuwa mchezaji wa kiungo.
 
Mabao hayo pia yanamfanya awe mchezaji wa pili kutoka Ivory Coast kufunga mabao mengi Ligi Kuu England licha ya uwezo wa mastaa wengine wa Ivory Coast waliowahi kucheza ligi hiyo kama Solomon Kalou na Wilfried Bony. Kwa kufunga mabao hayo 62, Toure analingana na mkongwe wa Manchester United, David Beckham ambaye alicheza mechi nyingi zaidi.
 
Mpaka sasa anasimama katika nafasi ya 30 ya ufungaji bora wa muda wote Ligi Kuu ya England. Katika nafasi hiyo anabanana na mastaa wawili wa zamani wa Manchester United, Dimitar Berbatov na Ruud van Nistelrooy. Ikikumbukwe licha ya mabao haya lakini Yakubu hakuwahi kucheza timu kubwa barani Ulaya.
 
Safi sana.
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Emmanuel Adebayor

Huyu alibakiza mabao matatu tu afikishe mabao 100. Licha ya kuwa na utata mwingi nje ya uwanja lakini staa huyu wa kimataifa wa Togo alikuwa mbaya mbele ya lango. Alifunga mabao 97 akiwa na klabu za Arsenal, Manchester City, Spurs na Crystal Palace.
 
Kwa sasa anacheza katika Ligi Kuu ya Uturuki klabu ya Basaksehir lakini anabakia kuwa Mwafrika wa pili kwa kufunga mabao mengi zaidi katika historia ya Ligi Kuu England mpaka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…