Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Didier Drogba (Mabao, 104)

Mfungaji bora wa muda wote katika Ligi Kuu England kutoka Bara la Afrika. Msimu uliopita rekodi yake ya kuwa Mwafrika wa kwanza kufunga mabao 29 ndani ya msimu mmoja ilipitwa na Mohamed Salah lakini itakuwa ngumu kwa rekodi yake ya kufunga mabao 104 kufikiwa hivi karibuni.
 
Sadio Mane (Mabao 50+)

Katika pambano la Ligi kuu kati ya Liverpool dhidi ya Cardiff City Oktoba mwaka huu, Mane alifunga mabao mawili katika ushindi wa mabao 4-1. Kwa kufanya hivyo, Mane alikuwa mchezaji wa saba kutoka Afrika kufikisha mabao 50. Mabao mengine alifunga na klabu ya Southampton. Katika pambano dhidi ya Fulham Machi mwaka huu Mane alifunga bao moja na kwa kufanya hivyo aliweka pia rekodi ya kuwa mchezaji wa Senegal aliyefunga mabao mengi ndani ya msimu mmoja.
Safi sana Sadio[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Efan Ekoku (Mabao 52)

Staa wa zamani wa kimataifa wa Nigeria ambaye ni mzaliwa wa Manchester. Aliamua kuitosa England na kukipiga katika Timu ya Taifa ya Nigeria na ndio maana anaingia katika orodha hii. Ekoku ambaye enzi zake alitamba na klabu ya ‘kihuni’ Wimbledon iliyokuwa ikijulikana kama Crazy Gang alikuwa mchezaji wa kwanza kutoka Afrika kufikisha mabao 50.
FIFA World Cup 1994 America.
Tunamkumbuka Efan Ekoku akiwa kwenye kikosi cha kihistoria cha kocha Clemens Wasterhof
 
Nwankwo Kanu (Mabao 54)

Mmoja kati ya washambuliaji bora kutoka Bara la Afrika ambao waliheshimika Ulaya. Alicheza klabu tatu tofauti Ligi Kuu England zikiwa ni Arsenal iliyomleta kutoka Inter Milan, West Bromwich na Portsmouth alitwaa nayo taji la FA.
Olympic Gold medal of football 1996.
Atlanta Georgia
FB_IMG_1554472133710.jpeg
FB_IMG_1554472014884.jpeg
 
Emmanuel Adebayor

Huyu alibakiza mabao matatu tu afikishe mabao 100. Licha ya kuwa na utata mwingi nje ya uwanja lakini staa huyu wa kimataifa wa Togo alikuwa mbaya mbele ya lango. Alifunga mabao 97 akiwa na klabu za Arsenal, Manchester City, Spurs na Crystal Palace.
Matatizo ya kfamilia yameathiri uwezo wake staa huyu
 
Kwa mujibu wa shirika la habari la BBC, Kulingana na mtandao wa gazeti la Daily Monitor nchini Uganda Uganda, mvulana huyo ambaye yuko katika darasa la nne katika shule ya msingi ya Buyende na msichana ambao wote waliripotiwa kuzaliwa na meno mawili waliozwa siku ya Jumatatu na kupatiwa nyumba ya kitamaduni kuishi.
 
Chini ya sheria za Uganda , ni makosa kwa watu walio chini ya umri wa miaka 18 kufunga ndoa ama hata kushiriki katika tendo la ngono
 
Inadaiwa kuwa watoto hao wawili walianza kuchumbiana wakati mvuana alipokua na miaka mitatu na msichana akiwa na umri wa miezi mitatu pekee.
 
Back
Top Bottom