Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Raphael Varane (Real Madrid)

KOCHA wa Real Madrid, Zinedine Zidane ameanza kuchekecha akili akisaka mbadala wa Raphael Varane kwani anaweza kuchukuliwa wakati wowote licha ya klabu hiyo kuweka masharti magumu kwenye usajili wake.

Real Madrid imesema kuwa ili kumnasa Varane klabu inatakiwa kuvunja mkataba wake kwa Pauni429milioni na zilipwe kwa mkupuo mmoja hatua ambayo Zidane alisema kuna klabu zina jeuri ya fedha.

Hata hivyo, Zidane alisema kuwa hana mpango wa kumuuza mchezaji wake huyo na haamini kama kuna watakaovunja mkataba wake.
 
Jadon Sancho (Borussia Dortmund)

KLABU ya Borussia Dortmund imefungua mlango kwa mchezaji wake, Jadon Sancho kuwa inaweza kumwachia.

Manchester United ndio klabu inayoongoza kasi ya kumnasa staa huyo wa Dortmund na kocha wa timu hiyo, Ole Gunnar Solskjaer alisema anataka fulubeki wa kulia, viungo wawili na winga wa kulia mmoja. Sancho amekuwa gumzo England kutokana na soka yake.
 
Idrissa Gueye (Everton)

EVERTON imesema iko tayari kukaa mezani na klabu inayomtaka kiungo wake, Idrissa Gueye.

Miamba ya Ufaransa ya Ligue 1, PSG imeanza kuonyesha nia ya kumtaka tangu Januari lakini Blues ilikataa ofa iliyoletewa mara mbili na klabu hiyo.

Klabu hiyo ilitoa ofa ya pili inayofikia Pauni26milioni dakika chache kabla ya kufungwa kwa dirisha dogo la usajili.
 
Paul Pogba (Manchester United)

KLABU ya Manchester United imemwambia kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane afute mawazo yake kwa kiungo wao, Paul Pogba kwa kuwa hawana kabisa mpango wa kumuuza.

Kocha huyo aliyerudishwa klabuni hapo, alisema mpango wake namba moja ni kumchukua Pogba ambaye naye alishasema anataka kuondoka.

Mpango wa Zidane kwa sasa ni kuifumua timu hiyo ikiwa ni pamoja na kuleta majembe kwa ajili ya kuibeba timu hiyo.
 
OLE Gunnar Solskjaer amesahau yaliyopita katika kipigo cha Wolves cha mabao 2-1 na sasa anajipanga kwa ajili ya mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Barcelona.

Wikiendi hii Man United haitakuwa na mechi ya ligi na ndio maana Ole anaifikiria zaidi Barcelona ambayo watakutana nayo kwenye mchezo wa robo fainali Jumatano ijayo.
 
Ole amesema atawapa wachezaji wake tizi la kufa mtu na kuwa shughuli nzima ya maandalizi itakuwa pale Uwanja wa Mazoezi wa Aon Complex.

Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Ole alisema; “Kikosi kina nafasi ya kufanya marekebisho muhimu kabla ya mechi hiyo itakayochezwa Old Trafford.
 
Kuna mambo kadhaa ya kufanyia marekebisho kwa haraka. Barca ni timu nzuri, lazima tujihadhari,” alisema Solskjaer.

Kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Wolves kilikuwa cha tatu katika mechi nne ilizocheza Man United katika michuano mbalimbali hivi karibuni.
 
853506940_23728.jpeg
 
Ukimwi haupimwi kwa siku moja brother, Je unafahamu kuwa CD4 zikipanda mwenye virus anaweza kupima na akaonekana mzima? Waliopata ukimwi wote hawakupenda na pengine walijitunza sana kuliko wewe.

Ukimwi hautabiriki, na sikuizi kuna njia nyingi za kupunguza kasi ya virus kishambulia seli lakini hiyo haimaanishi hauwezi kuenea kama ngono zitafanyika kizembe namna hiyo.

Kuna dada tunaheshimiana sana na huwa ananiomba ushauri mara nyingi akipata tatizo. Yeye anaishi na virus vya ukimwi kwa miaka mingi sana lakini ukimuona huwezi kumjua na ameumbika haswaa.

Kuna tembe fulani zinaitwa PEP na PREP, hizi zinatumika kuzuia maambukizi pia mama wajawazito wenye maambukizi hutumia dawa hizi kumkinga mtoto dhidi ya maambukizi.

Aliniambia yeye huwa akizitumia dawa hizo Japo ni mwathirika lakini ukimpima akiwa ameshatumia dawa hizo huwezi kupata reaction kwamba yeye ni HIV +. Kuna jamaa ameishi naye kama mchumba wake kwa muda sana bila kujua mwanamke ni mgonjwa maana walienda kupima akaonekana ni mzima.

Kwaiyo cheza salama lakini ikitokea bahati mbaya umepata maambukizi sio mwisho wa maisha, sikuizi wenye ukimwi wanaishi maisha marefu pia ukipima ukawa salama usijiamini sana kwamaana leo wewe ni mzima kesho utakua mgonjwa, kuugua sio kufa.

Nina dada yangu wa tumbo moja alipata maambukizi hayo mwaka 1993 kipindi ambacho Ukimwi ulikua ni tishio sana, amezaa watoto wanne (4) na wote wako salama. Hajawai kuwanyonyesha lakini wote wamekua.

Leo hii tunaongea ametimiza miaka 26 akiwa na HIV lakini ukikutana naye pamoja na kuwa ni mgonjwa huwezi kuamini. Ana shape nzuri na mwili wake umenawiri kama binti alieanza kubalehe, matiti yake bado yamesimama pamoja na umri wake.

Kama Mzima mshukuru Mungu na uache zinaa na kutamani wanawake wazuri, shetani hupenda kukaa sehemu nzuri.

Mkorintho wa 6
 
Chanzo: Mkorintho wa 6
 
Tena huyo kakosea, MGUMU wa kweli hapo yaani unampa za mgongo kabisa. Unageukia kule! [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata ulale uvunguni ka pafyumu orijino toka amazon forest lazima kakupate
 
Back
Top Bottom