Wiki moja iliyopita nikapata demu,kutokana na kazi yake nikajua huyu anakutana na wanaume kibao,maana mtoto ana sifa zile ambazo wanaume wengi tunaanzia kuzitazama kabla hatujaenda deep,
Nikarusha vocals mtoto akanilewa,na hata tulipopanga kukutana alifika kiroho safi,kuomba mzigo ndipo nilipompendea zaidi,maana alikataa katakata twende tukapime kwanza,condom alisema hapendi kabisa,kwa kuwa sikuwa na shaka huyooo mpaka laboratory tukapima then tukarudi room kupiga show ya kibabe,nilipanga kulala naye usiku mmoja,lakini kwa kuonesha anajari afya yake nikaongeza na siku ya pili tukala raha na jana ndipo tukarudi sehemu zetu za kazi.
Wanawake wakiwa na msimamo kama wa huyu demu hakika UKIMWI tutauepuka,maana wanaume huwa hatukumbuki kabisa swala la afya pale kichwa cha chini kikizidiwa.
Sent using
Jamii Forums mobile app