Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Kuna siku nimeopoa mrembo mahali kajaa king, tukatoka tulipo kutafuta lodge hata hatujafika mbali ananiambia nimpige kimoja cha kwenye gari, pombe mwanaharamu sana ninavua boxer tumbo likaanza kukata mbaya nikavaa fasta nikarud bar kushusha mzigo, kurudi demu ananiambia hataki kwenda lodge nimkaze kwenye gari namwambia sina condom anasema hapendi, ila pombe iache kama ilivyo nikaenda kupaki chocho ile anavua kubukta chake apande defender hili hapa, mzee baba siti iko chini boxer ipo miguuni...case iliisha ila nina uhakika ile siku Mungu aliamua kuniokoa na gonjwa hatari...tuwe makini. unaweza kutumia condom na isisaidie unapiga kazi unamaliza unakuta dudu imevaa kitop tuu
 
mkuu watu wanakata kamba balaaaa watu wanakunywa aya madude nendeni hospital mkaone folen watu wanavochukua dawa huwez amin yaan ni watu wengi kinoma yaan ukiwaona utajifunza kitu na umalaya lazima uache
Nilimpeleka dadaangu clinic...sehemu ya chanjo kwa wamama wajawazito ni karibu na wanapochukulia dawa...

Kuna watu kama kumi wa kitaa niliwaona pale asee sikuamini kabisa!...hiyo nyomi sasa[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilimpeleka dadaangu clinic...sehemu ya chanjo kwa wamama wajawazito ni karibu na wanapochukulia dawa...
Kuna watu kama kumi wa kitaa niliwaona pale asee sikuamini kabisa!...hiyo nyomi sasa[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
manesi ndo wanajua hali halisi ikoje acha tu yaan watu wanabugia yale madude sio masyala madawa yanakuja kwa mafurushi lakin yanavoisha huwez amin
 
Na sio foleni ya watu wengi tu...ni foleni ambayo imejaa mabrazamen na masistaduu wakali ambao huwez kuamini ni wagonjwa jinsi walivyopendeza

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa ana hii ishu....sasa siku namuuliza mbona hana wasiwasi huu ugonjwa hauumizi?

Akasema walaaa yaan eti mzima na yy anayeumwa wote sawa!...ila sikuamini hayo maneno yake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nayo unafikiri inasaidia sana anaweza kuja leo na vipimo mkacheki kumbe wiki mbili nyuma alikutana na mtu na vipimo huwa ndani ya miezi miwili ya mwazo hakionyeshi maambuki kama mtu anakuwa amepata hivyo katika hicho kipindi kama alipata maambukizi anakupasia.
Yaaaan hapo ndo napochoka!

Sasa sijui mtu ufanyeje?[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom