Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Huu uzi utakua na idadi kubwa sana ya watazamaji lkn itakosa wachangiaji...
Anyway ni kawaida yetu hatutak kuambiwa ukweli...
Asante mkuu kwa kutukumbusha ukweli huu mchungu japo HIV sio miongoni mwa magonjwa tishio tena kama ilivyokua hapo awali

Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi sasa uzi una pages 40
 
Yani tangu mwez ule bado nmeogopa kujipima huu uzi umenpa mawazo zaidi Ukweli ni kwamba Ukimwi ni jambo gumu lisikie tu ila tabu wanazozipata wenzetu aiseee.
 
Back
Top Bottom