Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Naona vijana hufunguwa majukwaa mbalimbali ya kutafuna papuchi, au utahalamu wa style mbambali za migegedo na ufundi mwingine mwingi wa kupinduka pinduka kama samaki baharini.

ujumbe
ikiwa kama vijana, cheza vibaya unalo, HIV imekuwa kama moja ya qualification status, hatuogopi na kama tumejisahau kuwa ukimwi upo, in fact , kama huna maambukizi huwezi feel! ila ndugu zetu wengine walio pata maambukizi kwa sababu mbalimbali wao wanafeel na wananielewa nini nazungunza! ngono zembe, ni hatari, siku hizi HIV Tester zipo katika maduka ya madawa, nenda ukajipime na mwenza wako, usiende na mtu bila kupima, tuacheni michezo ya kujichezeaa kamali katika maisha yetu.

tujihadhali, ukimwi bado upo,
VIJANA WANAKUAMBIA AIDS/HIV/UKIMWI NI KAMA MALARIA, HAWAOGOPI!
 
Naona vijana hufunguwa majukwaa mbalimbali ya kutafuna papuchi, au utahalamu wa style mbambali za migegedo na ufundi mwingine mwingi wa kupinduka pinduka kama samaki baharini.

KIMWI hadi nkaanza kujisahau
 
Mungu amekataza zinaa alikua na hekima sana!! Na aliposema ukifikia umri wa kubaleghe OA au OLEWA!!

Binadamu tunaenda kinyume na hili wacha tuungue..

Juzi nimeshuhudia tunemzika jirani jamani UKIMWI upo
 
Ilikua terehe za ishirini na kidogo mwezi wa March mwaka 2017, nadhani ilikua Jumatano, nikiwa Mkoani Tabora! Nikaenda kupima dah, nilikauka koo kabisa kabisa, maji hayapiti, halafu Dr alikua Kijana mdogo tu, kanipima kaacha kipimo mezani na mimi niko kwenye kiti, nilitamani nikichukue nikimbie.....sitakaa nisahau, sitakaa nisahau. Ni siku ambayo nilikonda kwa dakika kumi nikapoteza kilo kama sita, nakumbuka nilikua na 84kg kuja kupima nikajikuta nina 78kg, Dah kuzirudisha hizo sasa ilinichukua miezi....umbea wa kutaka kuoima huu!! Nawashauri mkapime, usimpime mtu kwa macho
Nafikiri kinacho ua watu sio UKIMWI, ni mindset tu.Sasa kama wewe kupima tu zilipungua 6KG,wat if ungekutwa positive si tungekua tumekuzika?
 
Kipimo kusoma -Ve sio kwamba ndio kinakupa uhuru wa kwenda peku.....Wengine huchukua zaidi ya miezi3 kusoma +Ve kwenye kipimo
 
Naona vijana hufunguwa majukwaa mbalimbali ya kutafuna papuchi, au utahalamu wa style mbambali za migegedo na ufundi mwingine mwingi wa kupinduka pinduka kama samaki baharini.
Hatuishi milele kufa kupo tu yaani Mimi nijibanie
 
Kila uliyelala nae unahisi ndo kakuambukiza...unajikuta uko kwenye denial yaaan!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi nasoma chuo kati ya vyuo vikuu hapa mkoani kwetu, wale wamama wanaofanya usafi huwa wananapumzikaga nyuma ya hostel zetu kwani kuna miti na bustani nzuri za kubarizi, huwa wanatuasa kutokana na mavitu wanayoyakuta kwenye vyoo vya mademu, hasa ma-ARV yamemwagwa chooni mpaka yanashindikana kuflashiwa na ni kila siku,imagine ilikuwa 2010s. MUNGU atuongoze na kizazi chetu jamani..
 
Nimesoma mpaka mwisho nikijua ulikula hio mimama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kumbe umemalizia ki utopolooo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom