witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mkuu uache?... Genye si mchezo bana, acha masihara[emoji134][emoji134]Kama hofu ni kubwa afadhali ukaacha kabisa kufanya zinaa kwasababu condom nazo kuna muda zinapasukaga. Bahati mbaya imepasuka mwendo ukiwa mkali nadhani hapo ni hadi mwisho wa safari. Sijui kama uzima utakuwepo hapo
Mkorintho wa 6
Nyinyi si huwa mnaziweza kuzi handle kiurahisi kuliko sisiSasa mkuu uache?... Genye si mchezo bana, acha masihara[emoji134][emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes...but hata nyie mnaweza kujiendekeza tuuNyinyi si huwa mnaziweza kuzi handle kiurahisi kuliko sisi
Mkuu wanaopenda kufanya kwenye giza tayari😎😎.Natamani nyuzi nyingi ziwe zinahamasisha hili suala,ili tuweze kujihadhari zaidi.....lasivyo tutabaki tukiwanyooshea watu vidole tu;kwa nini fulani anapenda kuvaa koti muda wote,kwa nini fulani anapenda tufanye kwenye giza,kwa nini fulani siku hizi ananyoa kipara tu,kwa nini fulani siku hizi amekuwa model n.k
Kwan yeye alikua anajijua ni plus? Mana umesema alikua mlokoleMimi sintosahau nilivyokoswa koswa na Ngoma. Kuna demu nilimtokea mlokole kweli kweli, tongoza nawewe tongoza, mpk akakubali. Siku ya mechi tukapanga, nkaingia gheto na vipimo vya HIV, na condom. Hlf nilikuwa na nyegezi kinoma, nikajiambia huu muda wa kupima wkt nimemtoa mbali kutongoza naupata wapi, nikachukua ndomu kuanza show ya kibabe, piga na wewe. Baada ya kupita km SAA 2 nkajiambia ni muda wa kupiga kavu, nkaona nimpime kwanza. Kumpima kipimo kikasoma positive nilichanganyikiwa, nkaangalia kondomu nilizotumia zikawa zinadamu, yaani msuguo mpk damu zikawa zinatoka ukitoa kondomu. Nilichoamua nkamwambia demu nna dharula job, we sepa. Alivyosepa nkalala kuvuta pumzi kuanza fikiria jeneza, nkaona isiwe tabu nkatafta PEP fasta nilikuwa nazo krb nkaanza dozi, ilikuwa 2017 sintosahau. Miezi 6 kupima negative, mpk Leo tangu siku ile nimeacha uhuni nakumjudge mtu kisa mwenye dini
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa hajijui, nilikuja kumwambia kwa simu siku nyingine awahi huduma akasema Yesu atamponyaKwan yeye alikua anajijua ni plus? Mana umesema alikua mlokole
Ukimwi wa namna hiyo ni mbaya wako anaweza kwenda kwa waganda akamwambia akutumie ugonjwa huo ili tu ikuteze , , na ukienda kupima unakuta unayo ukimwi kabisa,Mi siujui mamy......ila naonaga wagonjwa wengi wakiugua hii ishu wanasema wametupiwa!
Na ndugu yangu anasemaga hivi hivi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ameokoka kweli atapona ,Alikuwa hajijui, nilikuja kumwambia kwa simu siku nyingine awahi huduma akasema Yesu atamponya
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah atakua ananyongonyea sana ndani yake....sema Yesu ana huruma sana hivyo atamsamehe tu LAKINI hilo la kumponya sidhani kama atamponyaAlikuwa hajijui, nilikuja kumwambia kwa simu siku nyingine awahi huduma akasema Yesu atamponya
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ukimwi original mkuu inabd watu waende wapi?Ukimwi wa namna hiyo ni mbaya wako anaweza kwenda kwa waganda akamwambia akutumie ugonjwa huo ili tu ikuteze , , na ukienda kupima unakuta unayo ukimwi kabisa,
Ila dawa ya hiyo ukimwi fake ni Yesu tu , hakika ukimuendea kwa imani utapona kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Omba Mungu sana yasikukute/ usiupate ni majuto makubwa mno.Binafsi naamini dawa hizo zina side effect zake. Na nafsi yangu inakataa kunywa vidonge hivyo vikubwa kila siku ya siku zangu zilizobaki.
Sishawishi watu waniige, ila mimi nikiukwaa siwapi nafasi virusi wanitese kwa ujumla.
Majibu yalitokaje mkuu ungemalizia hapoIlikua terehe za ishirini na kidogo mwezi wa March mwaka 2017, nadhani ilikua Jumatano, nikiwa Mkoani Tabora! Nikaenda kupima dah, nilikauka koo kabisa kabisa, maji hayapiti, halafu Dr alikua Kijana mdogo tu, kanipima kaacha kipimo mezani na mimi niko kwenye kiti, nilitamani nikichukue nikimbie.....sitakaa nisahau, sitakaa nisahau. Ni siku ambayo nilikonda kwa dakika kumi nikapoteza kilo kama sita, nakumbuka nilikua na 84kg kuja kupima nikajikuta nina 78kg, Dah kuzirudisha hizo sasa ilinichukua miezi....umbea wa kutaka kuoima huu!! Nawashauri mkapime, usimpime mtu kwa macho
Hayo magonjwa mawili ndio yanatesa mbaya mno! Bora HIV utakunywa dawa kuituliza. Ukipigwa na CANCER you are a living dead man sukari ndio balaa, i can't believe maisha bila kula chumvi yatakuwaje kwa upande wanguNa ukipata cancer je... Au kisukari
am better here
Namna ya Mtu anavyoweza kujipima HIV nyu/chumbani kwake na kupata majibu papo hapo.
Wanausoma kwa timing sana sanaMwanzoni nilihisi huu uzi wengi wangeupita, wachangiaji wamekuwa wengi, afadhali tumepata mwamko wa kusoma vitu vya maana. Tutekeleze kile tulichoshauriwa.
ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ
Mkuu hili we liache....nimelipitia kwa mapana na marefu.......unajikuta daily machozi yanakutoka .......halafu walivyo wajeuri sasa...bora awe mpole......Mungu tuhurumie.....janga linakuwa janga pale kipato kinapokuwa hafifu......ee Mola naumba utusikie....Mkuu niliwahi uguza mgonjwa wa hivo miaka hiyo hakuna ARV yaan anapitia dalili zote, alivyokuwa anateseka!... Aisee ngoja niishie hapa